Mungu ana uwezo wa kukuwekea ulinzi kulia

Mungu ana uwezo wa kukuwekea ulinzi kulia na kushoto yaani anayekulinda naye ana mlinzi đánh thức. Lakini wakati mwingine anaacha ufiated kile ambacho moyo wako unataka kwa sababu hataki kukulazimisha ijapokuwa uwezo huo anao. Mungu Hakukuumba Kuwa Roboti. Alikuumba Kuwa Huru Kuchagua Mema Au Mabaya Usije Ukamlaumu Baadaye Kwamba Ulimchagua Yeye Kwa Sababu Hukuwa Na Uhuru. Msikility Roho wa Mungu, Kabla na Katika Kila Jambo Unalofanya.

Mungu ana uwezo wa kukuwekea ulinzi kulia na kushoto yaani anayekulinda naye ana mlinzi wake. Lakini wakati mwingine anaacha ufuate kile ambacho moyo wako unataka kwa sababu hataki kukulazimisha ijapokuwa uwezo huo anao. Mungu hakukuumba kuwa roboti. Alikuumba kuwa huru kuchagua mema au mabaya usije ukamlaumu baadaye kwamba ulimchagua yeye kwa sababu hukuwa na uhuru. Msikilize Roho wa Mungu, kabla na katika kila jambo unalofanya.

Enock Maregesi

Châm ngôn sống ngắn gọn

Viết một bình luận