Kilio Kikuu Cha Yesu, Hồi Eloi, Eloi,

Kilio Kikuu Cha Yesu, Hồi Eloi, Eloi, Lama Sabakthani? Zaburi 22 Ulikuwa Wimbo Maarufu Katika Kipindi Cha Karne Ya Kwanza, Kipindi Ambacho Yesu Alizaliwa Na Kufa, Uliotungwa Na Mfalme Daudi, Ulioitwa Kwa hiyo yesu aliposema maneno Hayo yaliwaingia watu akilini, na kuanzia hapo imani hasa ya ukristo ikachukua kasi hadi leo hii. Zaburi 22 Inaanza … Đọc tiếp

Kumwamini Mwenyezi Mungu wakati wa raha

Kumwamini Mwenyezi Mungu wakati wa raha ni rahisi kuliko kumwamini mwenyezi mungu wakati wa shida, na utahitaji imani kuendelea kumwamini wakati wa dhiki. Vipindi Vigumu Katika Maisha Yetu Hutokea Kwa Kila Mmoja Wetu. Kuamini ya kwamba mungu ana makusudi ya lazima kukuondolea vikwazo katika maisha yako ni vigumu sana wakati mwingine, lakini imani ndicho kitu … Đọc tiếp

Amri Ya Kristo Ilipima Imani Ya Yule Kipofu,

Amri Ya Kristo Ilipima Imani Ya Yule Kipofu, Ikiithibitisha na Kuiimarisha. Bila Kuchelewa Au Kusita, Kipofu Alitii Amri Ya Mungu: Alikwenda Kuosha Macho Yake Katika Bwawa La Siloamu Na Aliona. Wengi wanaweza kuona ni kazi ya kipuuzi kwa mtu ambaye ni kipofu kufanya kazi ndogo kama hiyo ili aione. Lakini Kwa Vile Alitii, Kipofu Alipona. … Đọc tiếp

Katika Dunia ya Leo Ambapo Mamilioni Ya

Katika Dunia ya Leo Ambapo Mamilioni Ya Watu Hutegemea Utandawazi Kupata Pesa, Kuwa Na IMani Kwamba Kupokea Pesa Kutoka Kwa Mtu usiyemjua Au Shetani ni mtu yoyote mwenye nia mbaya na wewe. Hivyo, Kama Uliwahi Kuabiwa Kwamba Kupokea Pesa Kutoka Kwa Mtu usiyemjua ni Kitu Kibaya Futa Imani Hiyo. Utaachaje Kupokea pesa kutoka kwa mtu … Đọc tiếp

Mfalme Sulemani Alikuwa Mtu Mwenye

Mfalme Sulemani Alikuwa Mtu Mwenye Hekima Kuliko Wote Ulimwenguni. Anatushauri, Hồi Adui Yako Akiwa Ana Njaa, Mpe Chakula; Tena Akiwa Ana Kiu, MPE Maji Ya Kunywa; Maana Utatia Makaa Ya Moto Kichwani Pake; Na Bwana Atakupa Thawabu (Mithali 25: 21-22). Yesu Anasema Jambo Fulani Linalofanana Sana Na Hilo Katika Mafundisho Yake Yaliyofuata (Mathayo 5: 44-45). … Đọc tiếp

Vita ya shetani na mungu inatuathiri zaidi

Vita ya shetani na mungu inatuathiri zaidi sisi wanadamu – na hapo baadaye itamuathiri shetani pia. Vita Hii Haiwezi Kuisha Hadi Siku Ya Mwisho, Yesu Kristo Atakaporudi Kuwachukua Wateule Wake. Pambana kwa njia ya maombi hadi siku ya mwisho kwa sababu adui Tunayepambana naye hana muda wa kupumzika. Pambana kujiombea na kuwaombea wengine waliohai, na … Đọc tiếp

Bảo mật ngày mai hôm nay bằng cách gieo

Bảo mật ngày mai hôm nay bằng cách gieo hạt giống tốt ngày hôm nay và bằng cách tưới nước cho họ bằng niềm tin và tình yêu với người khác. Secure tomorrow today by sowing good seeds today and by watering them with faith and love to others. Enock Maregesi

Kuamini (Mbali na imani, Ambayo ni nia

Kuamini (Mbali na imani, Ambayo ni nia ya kujua kisichoweza kujulikana) ni kwa ajili ya vitu usivyoweza kuvielezea. Unaamini Kwamba Siku Moja Dawa Ya Ukimwi Au Saratani Itapatikana Mahali Fulani, Ilhali Huwezi Kufanya Majaribio Ya Kisayansi Kulithibitisha Hilo. Unaweza Kusubiri Hata Miaka Mia, Lakini Kama Bado Dawa Haijapatikana, Unaweza Kusubiri Hata Miaka Mingine Mia. Kuamini … Đọc tiếp